Tanzania Telecommunications company Limited Board of Directors confirmed Dr. Kamugisha Kazaura as a Chief Executive Officer (CEO) of the Company effectively from yesterday.
Dr. Kazaura replaces Mr. Said Amir Said who had been an Acting CEO and reached his retirement age recently.
Before his appointment, Dr. Kazaura was TTCL’s Chief Technical officer (CTO).
The Board of Directors calls upon all TTCL Staff and Management to give support to the new CEO and to build team spirit and to commit to reinvigorate the TTCL, bring efficiency and increased cost effectiveness and take the Company to much higher heights.
The Board emphasizes by saying “let us move forward together as a united team and committed to promoting good Governance, transparency and inclusiveness.”
Dr. Kamugisha Kazaura (42) holds Master and a PhD of Science degree in Information and Telecommunications Studies from the University of Waseda, Tokyo-Japan.
Dr. Kamugisha Kazaura (42) holds Master and a PhD of Science degree in Information and Telecommunications Studies from the University of Waseda, Tokyo-Japan.
Ndugu Said Amir karibu Karume Technical College, tutakupa part-time ufundishe.
ReplyDeleteHongera sana ndugu..piga kazi kwa uadilifu na hekima uwe mfano wa kuigwa
ReplyDeleteNi aibu kwa taifa,shirika kubwa lililo kaa kwenye biashara muda mrefu hivyo tena likiwa pekee yake kufunikwa kabisa na makampuni binafisi,kwa sifa za huyu Dr kazaura naona kama mwanga mbele,naomba tu afanye kazi kimapinduzi,mwangalie msechu wa NHC,kampuni lilikuwa ICU,lakini leo liko super market likingaa kwenye medari za kibiashara.Kazaura nakuona NSHOMILE BWANA ,hebu tetea kuteuliwa kwako kwa manufaa ya taifa na shirika
ReplyDeleteWaitu mshanage!
ReplyDeleteKimura Kamu hongera sana hopeful utaongeza tijja na ufanisi kazini ...... you learnt alot from Japan start with 5S go S many greetings to ur supporting wife
ReplyDeleteKwanza napenda kukupa pongezi za dhati kwa kuteuliwa kuwa CEO wa TTCL. Kulingana na shule yako uelewa unao. Ombi langu kubwa kwako ni kwamba: Kwa sasa Tanzania ni nchi tano za juu kwa kuwa na gharama kubwa kwa mawasiliano, nikimaanisha mawasiliano Tanzania ni gharama sana, inafika mahali watu tunaona mawasiliano ni UKOLONI mwingine kwani tulitegemea shirika kama TTCL liwe mfano na kuhakikisha linashusha bei ya hawa jamaa wa makampuni ya simu za mkononi, na kuhakikisha connection services za mtandao ni almost zero, lakini leo hii nchi inapoteza hela nyingi na zikiishia kwenye haya mashirika ya simu za mkononi. Hivyo basi nakuomba uturekebishie haya matatizo. Pia nakupa ushauri tumia wataalamu kuweza kufanya mambo mazuri achana na wanasiasa na maamuzi ya kushinikizwa na siasa mbovu za Tanzania kabisa maana zitakupotezea sifa kabisa kama ilivyo shirika la TANESCO leo hii TANESCO ni matatizo matupu wanakula wachache tu, ila siku itawafikia tunawajua watasema yote. Hongera sana na ahsante sana.
ReplyDelete