Home
Unlabelled
UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA BUNGE KUTORUSHWA LIVE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nafahamu Live Streaming hii Video Striping ndio kitu gani?
ReplyDeleteIt's 2012 guys, simply WAKE UP. Tusiendelee kudhani nchi imejaa zombies, things are changing fast.
ReplyDelete
ReplyDeleteyule mtangazaji alie kua anaropoka bunge lisi rushwe live alikua ana matatizo gani kama sio ushamba na njaa
Kinachohitajika ni:
ReplyDelete1.BUNGE kuwa na Madili,
2.Wabunge kuwa na nidhamu,
3.Kanuni za Bunge Sheria na Taratibu zifuatwe, pia kuwajibishana kwa Makosa Bungeni.
Bunge liendelee kurushwa live, huku hayo matatu(3) yakizingatiwa,!
Kinachohitajika ni kuhakikisha wakati wa kula hakuna inzi arukae juu ya bakuli la mchuzi!
Hivi kuna sababu ya kuumwaga mchuzi wakati tukiwa tunakula kisa inzi ametumbukia?
Bunge kurushwa live ndio utaratibu na haki za Bunge kwa wananchi, hata Jumuiya ya Madola wanataka hivyo.
ReplyDeleteInatakiwa hata Waheshimiwa 'wakipumua' Mjengoni tunashuhudia live!
Sasa mkitaka ku-edit tutashuhudia vipi uhai na uhalisia wa afya za Wawakilishi wetu Mjengoni?
Ama kweli watu wanajua kudai, imekuwa ni mjadala mrefu sana Bunge kutakiwa liwe hewani bila chenga.
ReplyDeleteWananchi wanataka ukaribu kiasi kwamba Mbunge wao akipumua wanamshuhudia moja kwa moja, kutokea waliko Jimboni!.
ReplyDeleteSasa leo mnataka mratibu matangazo itakuwaje?
Hey! RTD ni chombo gani tena cha habari? Au tumerudi tena zama zile? Maana kabla ya RTD tulikuwa na TBC, je tumebadilishana kwa mara nyingine?
ReplyDeletesasa hivi vyombo vya habari vya tanzania hasa magazeti yamekua yanapotosha sana na kuchochea baadhi ya vitu..
ReplyDeletewanahabari hivi hamjui mna nguvu sana katika jamii??basi tumieni taaluma yenu vizuri..