Mkuu wa mkoa kigoma Issa Machibya (Mwenye suti)  akikagua mafunzo kwa vitendo ya vijana wanaomaliza mafunzo ya kujitolewa ya JKT katika kambi ya JKT Kanembwa wilayani Kibondo mkoani Kigoma
Baadhi ya vijana wanaomaliza mafunzo ya kujitolea katika kambi ya JKT Kanembwa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na mkuu wa mkoa kigoma Issa Machibya (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Baada ya Mafunzo mtumie juzi kupambana na Uhalifu, sio tena mchukue maboti mzame Ziwa Tanganyika kuanza uporaji!

    ReplyDelete
  2. HAWA NI MAKURUTA AU MAKAMANDA?

    ReplyDelete
  3. Ohhh, sasa hivyo vipara ndio kanuni ya Mafunzo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...