Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya
MT.Theresa wa Avila,wakipokea moja ya kati ya kompyuta kumi toka kwa Mkuu wa
Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule zenye thamani ya shilingi
Milioni zilizotolewa msaada na Vodacom
Foundation hivi karibuni.
Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule (kushoto)akimkabidhi
Bi. Jacquline Augustine moja ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7
zilizotolewa kwa msaada na Vodacom Foundation kwenye shule ya sekondari ya
wasichana ya MT.Theresa wa Avila,anaeshuhudia kulia ni Meneja biashara wa
kitengo cha Mahusiano Vodacom Bi.Lilian Kisamba.
Mkuu wa Vodacom Foundation
Bw.Yessaya Mwakifulefule na Meneja biashara wa kitengo cha Mahusiano Vodacom
Bi.Lilian Kisamba,wakimkabidhi kompyuta kati ya 10 zenye thamani yua shilingi
Milioni 7,Mwl.Joyce Martin wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa
Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama.
Baadhi ya wananchi na wazazi wa wanafunzi wa shule ya
sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya
ya Kahama,walifika kushuhudia makabidhiano ya ya kompyuta kati ya 10 zenye
thamani ya Milioni 7 zilizotolewa na Vodacom Foundation mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa
Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama,wakifatilia kwa ukaribu
makabidhiano ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7 zilizotolewa
msaada na Vodacom Foundation.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...