Picha ya pamoja ya washindi wa tuzo za
wachangiaji bora wa mfuko wa hifadhi ya jamii ya NSSF pamoja na Makamu wa
pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Balozi, Self Alli Idd
pamoja na viongozi wengeni wa mfuko wa NSSF.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Self
Ali Idd,akimkabidhi Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya kaskazini,Bw.Philemon
Chacha tuzo ya mchangiaji bora wa michango ya wanachama katika mfuko wa
pensheni wa NSSF kwa makampuni ya mawasiliano nchini.Vodacom imeshinda tuzo
hiyo na kukabidhiwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa tatu wa wadau wa
mfuko wa NSSF uliofanyika Mount Meru Hoteli jijini Arusha.
Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya
kaskazini,Bw.Philemon Chacha akionesha tuzo ya mchangiaji bora wa michango ya
wanachama katika mfuko wa pensheni wa NSSF kwa makampuni ya mawasiliano
nchini.Tuzo hiyo ilitolewa jana katika mkutano wa tatu wa wadau wa NSSF na
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Self Ali
Idd.
Meza ya Vodacom kwenye hafla hiyo






big up kaka "ceremoni" ,huyu jamaa ni kiboko tulipiga nae box hapa uk miaka hio namfahamu vizuri
ReplyDeleteBraaaaaaaavo mkuu Chacha...
ReplyDelete