Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akifungua Warsha ya Wadau ya Kupitia na Kujidili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Nihgu Warsha imefanyika kwenye Hotel ya Palmtree Village Bagamoyo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akiwa katika Picha ya Pamoja na Washiriki wa Warsha ya Kupitia na Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini
Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Richad Muyungi akimwambia jambo Afisa Mazingira Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Daniel Nkondola Mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Wadau wa Kujidili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini Warsha imefanyika Hotel ya Palmtree Village
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akimsikiliza jambo Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Raisi Bw Richad Muyungi mara Baada ya Ufunguzi waWarsha ya Wadau wakupitia na Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini.[Picha na Ali Meja]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...