Picha ya pamoja ya wadau walioshiriki katika warsha ya Sera ya Uhamiaji na Maendeleo (Migration and Devepoment Policy) iliyoandaliwa na African Diaspora Policy Centre ya The Netherlands kuanzia tarehe 18-21 Feb 2013 katika hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es salaam. Lengo la warsha hiyo ni kushirikisha wadau kutoka Wizara mbalimbali ili kutoa michango yao kuhusu uanzishwaji wa Sera hiyo mpya.
Home
Unlabelled
Washiriki wa warsha ya Sera ya Uhamiaji na Maendeleo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...