Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hizo mbwembwe wakawafanyie chekechea. Next time tukikutano nao tunawapiga mkono mwingine. - Kilakshari

    ReplyDelete
  2. teh teh watani bwana .hayo kwetu huwa tunalindia njugu a.k.a nshoro zisiliwe na ndege
    watani oyeeee

    ReplyDelete
  3. maisha bongo tambarare yani sikuizi kunawatu wanavijiwe vyao wanapiga jezi moja tuu unifom kama hivyo yanga tuu au simbaa tuu. Kweli mchina alivyoanza kutuchakachulia jezi bei nafuu amedumisha utani wa jadi...... Hii ni babu kubwa

    ReplyDelete
  4. aah kilakshari acha hizo,wasalimie kijiweni kwenye bao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...