Toka kulia, Mama Balozi- Joyce Kallaghe, Anna Lukindo, Mheshimiwa Balozi Peter Kallaghe, Christine Mhando, Naibu Balozi Chabaka Kilumanga na mkewe Irene.
Jacquiline Kibacha akipokea tuzo ya mapambo iitwayo “Fashions Finest 2012” mjini London mwezi Novemba mwaka jana.


=======

Na Freddy Macha

Maonyesho maarufu ya mavazi –London Fashion Week- yaliyoanza rasmi Ijumaa iliyopita mjini London yameiweka ramani ya Tanzania duniani.

Shughuli hii muhimu kiuchumi na kisanaa inayoendelea juma zima na kuhusisha vituo vya kitamaduni na balozi 27 ina lengo la kutangaza vipaji vya wabunifu mavazi toka nchi zisizojulikana uwanja huu mahiri wa kimataifa unaosifika takriban miaka 30 sasa.

“London Fashion Week” ni moja ya maonyesho manne ulimwenguni yaliyoasisiwa rasmi kutukuza ubunifu, ufundi na biashara mwaka 1984. Huendeshwa sambamba miji ya New York, Milan na Paris kila mwezi Februari na Septemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...