Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa GS1 Tanzania kwa miaka 5,uliofanyika katika Hotel ya Blue Pearl,Ubungo Plaza, Feb,27,2013..
Kaimu Mkurugenzi wa GS1 Tanzania, Fatma Kange akizungumza wakati wa kikao cha tatu cha wadau wa GS1 Tanzania katika Hotel ya Blue Pearl,Ubungo Plaza,Feb,27,2013.
Waziri wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda akimkaribisha Waziri Mkuu kufungua Kikao cha tatu cha washika dau katika Hotel ya Blue Pearl, Ubungo Plaza,Feb 27,2013
Makamu Mwenyekiti wa GS1 Tanzania,Yakub Hasham akizungumza na wadau  mbalimbali waliohudhuria kikao cha tatu cha washika dau na kikao cha pili cha mwaka cha GS1 Tanzania.
Baadhi ya wadau waliohudhuria kikao hicho cha GS1 Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hebu tuambieni kwanza hiyo GS1 ndiyo nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...