Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (Mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa British Council nchini Sally Robinson (kulia) leo Ofisini kwa Waziri,alipokwenda kumtembelea na kufanya mazungumzo mbalimbali kuhusu tasnia ya ubunifu wa Sanaa na Utamaduni pamoja na jinsi ya kuwajengea uwezo katika fani mbalimbali za sanaa na ujasiria mali.+Waziri+na+(sally).JPG)
Waziri wa Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara (Mb) akizungumza na Mkurugenzi wa British Council nchini (kulia) Sally Robinson leo alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kuzungumzia masuala mbalimbali ya tasnia ya Utamaduni.
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo (kushoto) Dkt. Fenella Mukangara akiangalia kipeperushi baada ya kupokea kutoka kwa Mkurugenzi wa British Council nchini,Sally Robinson alipomtembelea leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...