Mshindi wa pili wa tuzo za Mwanamakuka bi  Leila Mwambungu  (katikati) akifurahi kwa pamoja  na Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia)  wakati wa kukabidhiwa   mfano wa hundi ya shillingi million tatu mara baada ya kuibuka mshindi wa pili wa  tuzo za mwanamakuka . Akishuhudia kushoto ni  Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali na wa pili kushoto ni mwenyekiti  wa Unit of women Friends Esther Wakati.i
Mwenyekiti wa Unit of women Friends Esther (kushoto)  akikabidhi Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde cheti cha shukrani kwa Airtel kushiriki na kudhamini tuzo za mwanamakuka kwa mwaka 2013. Akishuhudia ni mtunza fedha Mwate Madinda.
Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde(kulia) akikimkabithi mshindi wa pili wa mwanamakuka bi  Leila Mwambungu  mfano wa hundi ya shillingi million tatu mara baada ya kuibuka mshindi wa pili wa  tuzo za mwanamakuka . wakishuhudia  kulia katikati ni mwenyekiti  wa Unit of women Friends Esther Wakati, kushoto ni  msimamizi wa mwanamakuka award Maryam Shamo akifatiwa na Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali.
Balozi mstaafu bi Mwanaidi Maajar (katikati) akitoa mkono wa shukrani kwa  Afisa Uhusiano wa Airtel  bi Jane Matinde kuishukuru Airtel Tanzania kwa kudhamini tuzo za Mwanamakuka 2013. Wakishuhudia ni  Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali na wa pili kushoto ni mwenyekiti  wa Unit of women Friends Esther Wakati.
Waandaaji na wadhamini wa tuzo za mwanamakuka 2013 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali wakati wa sherehe za tuzo hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. WALIOWAHI KUISHI MAJUU UTAWAJUA TUU,MAANA HIZO FIGA NDIYO ZINATAKIWA KWA BINADAMU.HONGERAA MWANAID MAJAA,UTADHANI MSICHANA MDOGOOO.LONDON BEST MAJUUUU.

    ReplyDelete
  2. Jamani sio Balozi mstaafu ni balozi wa zamani yaani former ambassador and NOT retired ambassador.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...