Baadhi ya abiria pichani juu wakiwa hawajui la kufanya mara baada ya basi lao litokalo Mwenga kwenda Posta kupata hitilafu eneo la St.Peter na kupoteza mwelekeo,katika ajali hiyo hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hiyo ndiyo faida ya kutanua.

    Na nyinyi abiria musishabikie madereva wa daladala kutanua, wanahatarisha maisha yenu jamani.

    ReplyDelete
  2. Mdau mwenzangu ktk eneo hilo jakuna uwezekano wa kutanua hiyo ni ajali ya kawaida kbsa inayoweza kukutokea hata ww ukiwa makini kbsaaa barabarani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...