Mkurugenzi wa Idara ya Maafa Zanzibar Nd. Juma Ali Hamad akiwasilisha Taarifa juu ya muelekeo wa mvua za masika mwezi Machi hadi Mei kwenye kikao cha Kamati ya Maafa Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Kanda ya Zanzibar Nd. Khamis Suleiman akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Maafa Zanzibar juu ya hali iliopo ya muendeleo wa Mvua za Masika zinazonyesha Nchini kwenye ukuimbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar uliopo Vuga Mjini Zanzibar.
Picha na Hassan Issa wa - OMPR – ZNZ.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...