Balozi wa Nipe Fagio Sauda Simba akimkabidhi Meya wa Ilala Jerry Silaa fagio ofisini kwake jana. (kulia ) muanzilishi Said Mohammed Said na mjumbe Adam Kasale .Nipe Fagioni ni shirika lisilo la kiserikali litakalo bobea kwenye maswala ya mazingira, usafi na upendezaji wa jiji la Dar es Salaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...