Habari kaka mchuzi naomba unisaidie kutangaza biashara sina ofis lakin atakayehitaji awasiliane na Mimi kwa email nimuelekeze zilipo tafadhali ipo hivi ni Canon A 2200
> 14,1 MB , 4X zoom, 6.8sm(2,7 inches ) LCDscare. ,28mm wide angels lens , 720p HD film bei ni 250000 kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na Mimi kwa
email: joymathew-87@live.se
kamera zinatoka Sweden but zinapatikana Tanzania


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...