Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akimsiliza kwa makini Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma Bi Mary Mosha (kulia) kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  Tanzania (TAKUKURU) alipokuwa akitoa maelezo mafupi pamoja na kuutambulisha ujumbe wa Maafisa Waandamizi wa chombo cha kupambana na rushwa kutoka nchini Misri. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Misri hapa nchini, Mhe. Hossam Moharam, upo Tanzania kwa nia ya kubadilishana uzoefu na TAKUKURU
 Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Misri Jenerali Moustafa Raafat Abdel Salam (wa pili kushoto – wa kwanza ni Balozi Moharam) akimwelezea Spika Makinda hatua zinazochukuliwa na taasisi yake katika kupambana na rushwa nchini Misri.
    Ujumbe huo ukiwa katika meza ya majadiliano
Sehemu ya ujumbe huo. 
Picha na Prosper Minja - Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. What a place to be to learn about real corruption. Hapa ndiyou penyewe hasa unakula, hakuna cha jela wala nini. You have a lot to learn - Karibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...