Timu ya Malindi ya Zanzibar huku ikiwa pungufu kutokana na mchezaji wa ke mmoja kulimwa kadi nyekundu mapema dakika za mwanzo wa mchezo, jana iliibuka mshindi kwa kuinyuka Mundu mabao 2-1 ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar.
Mshambuliaji wa timu ya Mundu, Ulrasa Juma akimtoka mlinzi wa Malindi, Nadir Rashid (kushoto) wakati wa mchezo wa wa ligi kuu ya Grand Malt,Zanzibar uliochezwa jana jioni kwenye uwanja wa Mao Tse Tung.
Abdalla said wa Malindi (kushoto) na Thabit Khamis wa mundu wakiwania mpira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mfungaji anaweza kushangilia goli kwa ku-slide katika uwanja huu?

    ReplyDelete
  2. wewe mtoa maoni hapo juu ...kumbuka kuwa hao unaowaona wana slide wote ulimwenguni wameanza kwenye viwanja hivi


    mdharau kwao mtuma ...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...