Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. wawe wazi?

    ReplyDelete
  2. ni hatari hii kwa sababu barabara zetu zina mashimo na mabonde , zitakuwa zinapinduka kila mara na kuhatarisha maisha ya watu, kwanza hakikisheni barabara zote nchini zimetengenezwa kwa mahesabu halafu ndio mruhusu hizi za ghorofa , nimefikisha

    ReplyDelete
  3. Bajaji za gorofa...mwaka huu watawamaliza!

    ReplyDelete
  4. Sawa bajaji hizo za gorofa na zije tuu ila kwa usalama zaidi matairi yake ya nyuma ya upande wa kulia na wa kushoto yawe manne manne au kwa uchache yawe mawili mawili, maana kwa namna kilivyopanda juu halafu matairi yake ya nyuma kuwa ni moja moja tu ni vyepesi sana kupinduka chenyewe tu au hata kwa kupeperushwa tu na upepo.

    ReplyDelete
  5. Mchongo siwoo

    ReplyDelete
  6. Photoshop:Ghorofani tunapandia wapi?

    ReplyDelete
  7. mhh, ajali zake hizo sitaki kusikia. C'mon this is VERY DANGEROUS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...