Naibu Mkurugenzi Mkuu wa BancAbc, Misheck Ugaro akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa
mashindano ya mchezo wa gofu yaliyodhaminiwa na BancAbc katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es
Salaam jana.
Mchezaji wa Gymkhana Club, Mo Khimji akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa gofu yaliyodhaminiwa na BancAbc katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana.
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa BancAbc, Misheck Ugaro akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa gofu yaliyodhaminiwa na BancAbc katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...