Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza machache kabla ya kuanza harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara chini ya usimamizi wa Padri Wojciech Adam (hayupo pichani) wa kanisa Katoliki la Kiabakari lililopo wilayani humo,Hafla hii ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara chini ya Padri Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.ambapo Mgeni Rasmi katika harambee hiyo,alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Padri Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari akitoa historia fupi ya mradi huo toka kuanza kwake mpaka walipofikia wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.ambapo Mgeni Rasmi katika harambee hiyo,alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara chini ya Padri Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.ambapo Mgeni Rasmi katika harambee hiyo,alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Padri Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari akitoa historia fupi ya mradi huo toka kuanza kwake mpaka walipofikia wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.ambapo Mgeni Rasmi katika harambee hiyo,alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini,Mh. Nimrod Mkono akizungumza machache wakati wa kukabidhi mchango wake na kuahidi kuendelea kuchangia ili kuhakikisha ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara inafanikiwa huku akisikilizwa kwa makini na Mgeni Rasmi wa Harambee hiyo,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere.
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini,Mh. Nimrod Mkono akikabidhi mchango wake kwa Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere huku akisaidiwa na Mgeni Rasmi kwenye hafla hiyo,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Free Media,Ansbert Ngurumo ampa mkono Mama Maria Nyerere mara baada ya kutoa ahadi yake ya kuchangia ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkabidhi picha Boss Mkuu wa Mgahawa wa BreakPoint mara baada ya kununua kwenye mnada aliouendesha yeye mwenyewe.Katikati ni Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere.
Watanzania hebu tujitokeze kuikoa Butiama!Tunahitaji kufanya zaidi ya hiki kinachofanyika sasa!Nampongeza Padre Adam wa Kiabakari,nampongeza Mhe.Lowasa kwa kutokata tamaa,kwa kumtanguliza Mungu mbele na kwa kuwa katika mstari wa mbele katika Hafla za aina hii za kijamii!ahsanteni sana na Mungu awazidishie!Ukweli ni kwamba,zitahitajika nguvu za ziada,kukusanya fedha na vifaa muhimu,vitakavyo hitajika katika "Kubadilisha Sura ya Butiama".Nawafahamu watanzania wengi ambao wangependa nyakati za wikiendi au za Likizo japo mara moja kwa mwaka kwenda kupiga kambi Butiama japo kwa siku mbili tu,ili "kusuuza roho zao na kujikumbusha mengi",lakini miundombinu iliyopo sasa bado haikidhi mahitaji hayo ninayo yazungumzia!Zitahitajika nyumba za kulala wageni,mahoteli,viwanja vya wazi,vya michezo na kupumzikia,maduka na supamaketi,kiwanja kizuri cha ndege,barabara zenye hadhi,zahanati za kisasa na hospitali kubwa,vyuo na shule zenye hadhi,mashamba yenye rutuba,na pilikapilika zote muhimu za kibiashara,na mengineyo mengi!Tusilale usingizi Watanzania!
ReplyDeleteURAIS AFRIKA YA MASHARIKI:
ReplyDeleteNadhani tufuate mwelekeo uliopo kwa sasa, kwa kuwa ni kama hivi
1.Wiki iliyopia Jamhuri ya Kenya immempata Raisi Uhuru Kenyatta akiwa na umri wa miaka 51.
2.Jamhuri ya Rwanda ilimpata Raisi Paul Kagame akiwa na umri wa mwaka 2004 akiwa na umri wa miaka 45 na sasa ana miaka 54.
3.Burundi ina Raisi Pierre Nkurunzinza akiwa sasa na umri wa miaka 50, alipara Uraisi mwaka 2005 akiwa na umri wa miaka 42.
4.Uganda ilimpata Raisi Yoweri Museveni mwaka 1986 akiwa na umri wa miaka 42.
5.Tanzania ilimpata Mhe.Raisi JK akiwa na umri wa miaka 55 mwaka 2005.
Nadhani ktk suala la Uraisi Tanzania tusihangaike sana lazima twende na mwendo huo ya kuwa Maraisi wetu ktk Afrika ya Mashariki wanapatikana wakiwa na miaka kati ya 40 hadi 55 !!!
Hatuwezi kamwe ktk suala la Uraisi kwenda kinyume na mwelekeo wa Afrika ya Mashariki tusije kupitwa na muda na pia tukageuka jiwe!!!.
Wao ndugu zetu Jamhuri ya Kenya wiki iliyopita wameliona hilo na wakafanya maamuzi.
Nawakilisha!
Age is nothing but a number!It all depends on a lot of circumstances!Being Young does not mean anything in Politics!Neither being Old!What matters,is the current intellectual integrity and health status of the candidate!Kuna kazi nyingi za kufanya,sio Urais tu peke yake,besides,hakuna aliyemzuia Kijana wa umri huo kugombea!You dont put a boundary line,kwamba,umri huu huwezi kugombea,ni mtoto au kijana mdogo tu ambaye hana ujuzi na uzoefu wa maisha na uongozi,ndiye atayeweza kuleta hofu,otherwise,pull up your socks,boys,msipende mteremko tu saa zote!
ReplyDelete