Kuna bonge la mjadala limezuka katika Globu ya Jamii, hususan baada ya picha ya Rais wa Afrika Kusini kuonekana kaacha kifungo kimoja cha koti lake bila kufungwa. Kila aliyechangia aliutumia vyema uhuru wake wa kutoa mawazo na hadi tunakwenda hewani hakukuwa na mshindi wala mshindwa. Katika kuhakikisha wadau hawatoani ngeu kwa mjadala huu, Globu ya Jamii ikaingia kazini na kufanya utafiti kwenye mitandao kadhaa na kukutana na mmoja ambao unaweza kutupatia majawabu mema. 


ANGALIZO: Utachokuta huko kimeandikwa kwa ung'eng'e hivyo kama lugha hiyi iz not richabo tafuta mfasili akusaidie....Libeneke oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...