Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbali ya matatizo yaliotajwa naamini pia mfumo wa maduka kushonana sana pia kunachangia kueneza moto haraka pale unapotokea. Bila ya kusahau daima moto Tanzania asilimia kubwa ni shoti za umeme, hili hata sijui ni kwa nini.

    Pia ni kwa nini kila pakitokea maafa yawe ya moto, ajali barabarani au majini tunatabia soote kukimbilia eneo la maafa na kujazana hadi kwamba waokozi na vyombo vyao huwa ni vigumu kufika sehemu hizo? hivi ni kwa nini hasa?

    ReplyDelete
  2. Kaka Huoni hii idadi ya Bomuwatu wanajitafutia riziki katika maafa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...