Mshindi wa nne wa DStv Rewards Bwana Edward Hiza Mhina (katikati) akipotea hundi ya shilingi milioni tano (5,000,000/=). Kulia ni Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi na Meneja wa Fedha wa kampuni hiyo, Francis Senguji. DStv inatoa kila wiki Tshs 5,000,000 kwa wateja wake ambao watalipia malipo ya mwezi ya akaunti zao za DStv kabla ya kukatika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...