Mhe.Naibu Spika Job Ndugai akijadiliana jambo na Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mabunge ya Nchi za Afrika, Carribbean na Pacific (ACP) muda mfupi kabla ya kuongoza kikao cha Kamati ya Mazingira na Masuala ya Jamii cha Umoja huo katika mkutano unaoendelea jijini Brussels, Ubelgiji.Kulia ni mjumbe wa Tanzania Mhe.Dr Mary Machuche Mwanjelwa.
Mhe.Naibu Spika Job Ndugai akiwasilisha ripoti ya Kamati ya Mazingira na Masuala ya Jamii ya Mabunge ya ACP kwenye mkutano wa pamoja (Joint Assembly) wa Wajumbe toka kamati zote za Umoja huo.Katika ripoti yake Mhe.Ndugai alizungumzia changamoto kadhaa zinazokabili nchi za ACP katika sekta ya Mazingira na Masuala ya Jamii ikiwemo ongezeko kubwa la watu na uhaba wa rasilimali za kuwahudumia pamoja na mambo mengine.
Picha zote na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...