Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na
Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko
ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili kwenye ukumbi wa Mkutano Ofisini Mtaa wa
Luthuli Mjijini Dar es Salaam, Kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Bw Sazi Salula kushoto Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Bw Richard
Muyungi
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na
Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko
ya Tabianchi kwa Njia ya Asili Mkutano huo Umefanyika kwenye Ukumbi
wa Mikutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam, Kulia Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula.[Picha na Ali Meja]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...