Mdau Mesiaki asante sana kwa kuendeleza libeneke hili. Hizi ngoma zako zinakosha mno. Globu ya Jamii inakaribisha 'Special requests' kwa ngoma za enzi hizo na za sasa. Usisahau Cheka Unenepe..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mdau Mesiaki wewe na Ankali Michuzi mnazo Music Library kubwa tokea jana niliomba ule Wimbi wa Nelson Mandela alipokuwa anaachiwa kutokA Gerezani mwaka 1991 uliimbwa na Wamarekani mchanganyiko Weupe na Weusi.

    Waliimba wakiwa wamekaa ktk Jukwaa kama kwenye Uwanja mkubwa hivi, akitajwa Mandela ktk wimbo watu KJukwaani wananyanhua juu picha ya Mandela.

    Tafadhali ninaomba kama mnayo muiweke hewani ili tustarehe!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...