Franklin BOUKAKA anatamba hadi leo na ngoma yake ya 'AFRICA'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Very touching song!
    Viongozi wetu bado wana ulimbukeni wa mali miaka zaidi ya 30 tangu tupate uhuru.

    ReplyDelete
  2. Wow, hii nyimbo imenikumbusha mbali enzi hizo redio ni moja tu yaani RTD, kulikua na kipindi kiendacho kwa jina la Afrika juma hili na huu ndio ulikua mwimbo wa ufunguzi wa kipindi. Ilikua ni miaka hile ya migogoro ya kisiasa na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Daa yaani nikikumbuka machozi yananitoka, kulikua na vipindi vizuri mno japo tulikua ktk dunia ya giza nene isiyokua na mitandao, hakukua na simu za mkononi daa jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...