Ngoma ya 'Long Time' ya Mr Arrow isipopigwa siku hiyo wadau wanaandamana......
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Walahi tena,
ReplyDeletehuu wimbo niliupenda nkiwa 8-9yrs na i did not know what was said but i translated it like ".... ukienda kwenye disco usinywe pombe kali ooo ooo ...." dont me ask me why ... but that how i did it.
Duh mtaalamu wa Soca Rhumba huyu Alphonsus Celestine Edmund Cassel(R.I.P)
ReplyDeleteNikiwa ndo nimetoka kijijini mwaka 198* tukakaribishwa na Disco vijana wa Form one,weeee.Ilikuwa hatari kweli kweli ukumbini.Nadhani ndiye alipiga na "Hot hot hot" na ile "Columbia Columbia".Basi tunajipanga mstari tunarukaruka kwa kwenda mbele na kurudi nyuma hee hee heee.Asante Ankal,tuko pamoja
David V
David V unaona noma kusema kwamba umeingia jijini 1988. Mbona kuna wenzako wangali wanaingia mpaka leo. Wewe utabaki kua mwenyeji wao tu kwakua 1988 ni kitambo kidogo.
ReplyDeletehahhahahaha hahahahaha hahahaha
Mdau ughaibuni.