Mshambuliani wa pembeni wa timu ya netiboli ya Free Media Queens, Clezencia Tryphone akimiliki mpira wakati wa michuano ya NSSF Media Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Free Media ilishinda 23-20. (Picha na Habari Mseto Blog)
Kikosi cha Free Media Queens.
Mshambuliani wa pembeni wa Free Media Queens, Clezencia Tryphone akimiliki mpira wakati wa michuano ya NSSF Media Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Free Media ilishinda 23-20.
Wachezaji wa timu ya Free Media Queens wakiwa mapumziko.
Matokeo ya mchezo kati ya Free Media Queens na Uhuru Queens.
Mfungaji wa timu ya TBC Queens akijiandaa kuifungia timu yake katika michuano ya NSSF Media Cup ilipopambana na Sahara Media ambapo katika mchezo huo TBC iliibuka na ushindi wa mabao 56-1
Mfungaji wa timu ya TBC Queens akiwatoka wachezaji wa Sahara Media katika michuano ya NSSF Media Cup ilipopambana na Sahara Media ambapo katika mchezo huo TBC iliibuka na ushindi wa mabao 56-1
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...