Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha Dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini Hapo Baada ya Kujisikia Vibaya.jopo la Madaktari Bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunga ili kubaini ugonjwa unaomsumbua.Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni Mtoto wa Mzee Kingunge Bwana Kinjekitile.(picha na freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete amtembelea Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Hospitali ya Taifa Muhimbili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Uguwa pole mzee wetu.
ReplyDeleteKwani yeye hayuko intitled kutibiwa Kings Edward au Queen Anne Hospital ya Uingereza????!!
ReplyDeletekumbe mke wake muarabu
ReplyDeletePole sana. Get well soon Mzee Kingunge!
ReplyDelete