SAFARI LAGER NYAMA CHOMA MWANZA FINALS
Sunday, 17 March 2013 – Kiwanja Cha Furahisha
  • Kwa mara nyingine tena, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia mchuano wa mwisho kuona ni Bar ipi inayochoma nyama Bomba zaidi jijini Mwanza!.
  • Ni Jumapili hii tarehe 17 March, katika Kiwanja Cha Furahisha jijini Mwanza kuanzia saa 4.00asbh.
  • Njoo ushuhudie bar zilizoingia fainali Mwanza zikichuana kukupa Nyama Choma Bomba zaidi;
    • Victoria Prince Bar Kirumba.
    • Shokeni Bar Mkuyuni.
    • AR Pub Kilimahewa.
    • Lunara Bar Nyakato.
    • Shooters Bar Kirumba.
Washindi watajipatia zawadi zaidi ya shilingi milioni nne!.
  • Njoo uburudike kwa aina tofauti za nyama choma, kuanzia mapande hadi mishkaki, nyama za Kuku, Ngombe na Mbuzi!!. Chachandu, Kachumbari, pilipili, ndimu nk.. vitakuwepo.
  • Kutakuwa na zawadi kibao kutoka Safari Lager, burudani za wasanii mbalimbali, na kufunga kazi jukwaani watakuwepo The Africana Music Band!!..
  • Tamasha la Safari Lager Nyama Choma jumapili hii pale kiwanja cha Furahisha jijini Mwanza ni BURE, hakuna Kiingilio!.
  • Bila Safari Lager, Nyama Choma Haijakamilika!!..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ''Bila Safari Lager Nyama Choma Haijakamilika!!..''

    Maneno ktk mstari wa chini kabisa,

    Je, mimi Ustaadhi ambaye silewi, sinywi na wala sivuti nikija Kiwanja cha Furahisha Mwanza nikatandika Busati langu pembeni na Themosi langu la chai na chapati, halafu nikaagiza nyama choma kusukumizia kinywaji changu laini ''chai na chapati kwa nyama choma'' Waandaaji Safari Lager mtakubali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...