Sista wa kituo cha msimbazi center katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi kutoka shule ya sekondari Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es salaam waliofika kituoni kwa ajili ya kuwatembelea watoto yatima kituoni hapo na kutoa michango yao ambayo imetolewa na wanafunzi wenyewe wakishirikiana na walimu wao pamoja na uongozi wa shule wanafunzi hao ni wawakilishi kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha tano.
Walimu na viongozi wa wanafunzi toka shule ya sekondari Tusiime wakitoa mchango wao wa vitu mbali mbali kwa sista mlezi wa kituo cha msimbazi center.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa na walimu wao Mwalimu Daniel Nanyalo na Mwalimu Venant Faustine Tusiime sekondari kwa ajili ya kuanza safari ya kwenda msimbazi center kuwatembelea watoto wasio jiweza
Gilbert Mtei na Balbina Lwena waki onyesha upendo wao kwa watoto wa kituo cha msimbazi center.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...