
TIMU YA SIMBA YA JIJINI DAR ES SALAAM,YASHINDWA KUONYESHA MAKEKE YAKE MBELE YA TIMU YA FC LIBOLO YA NCHINI ANGOLA,BAADA YA KUKUBALI KICHAPO CHA BAO 4-0 KATIKA MCHEZO ULIOMALIZIKA MUDA MFUPI ULIOPITA.
NA HUKO NCHINI SUDAN KUSINI,TIMU YA AZAM FC LEO WAMEENDELEA KUONYESHA CHECHE ZAO,BAADA YA KUWATANDIKA WAINZANI WAO BAO 5-0.
HABARI KAMILI ITAKUJA BAADAE.


Aisee bro misoup, watani zetu wana hali mbaya sana naona bakora zitambezwa hivi karibuni mtaa wa msimbazi maana mnyama bundi amekataa kuondoa kambi kwenye paa la wekundu wa msimbazi
ReplyDeleteSimba mandemba!!!
ReplyDelete