Tuna
masikitiko makubwa ya kuwatangazia maziko ya ndugu yetu Said Khalfan Shedhan
hayakuweza kufanyika leo siku ya Jumatatu tarehe 11/3/2013 kama ilivyotangazwa
awali kutokana na kwamba mwili wa marehemu umechelewa kukabidhiwa kwa wanandugu
Mazishi
yanategemewa kufanyika siku ya Jumanne tarehe 12/ 03/ 2013 mara tu baada ya
sala ya Adhuhur, Inshallah.
Msiba
huu upo nyumbani kwa marehemu Address ifuatayo:
3
High Street
Sheffield
Yorkshire
S2
5PZ
SALA
YA Maiti itasaliwa msikiti wa address:
3
Ellesmere Road
Sheffield
Yorkshire
S2
7JA
Tunaomba
uwasiliane na wahusika wafuatao kwa taarifa zaidi za maziko;
Habibu
Swalehe 07904604128 UK
AU
Mohamed
Said Khalfan Shedhan 07961014224 UK
AU
Ahmed
Mashaka 07876232851 UK
"KWA
HAKIKA SOTE NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA "
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...