Tuna masikitiko makubwa ya kuwatangazia kifo cha ndugu yetu Said Khalfan Shedhani, kilicho tokea ghafla siku ya Jumamosi Tarehe 09 / 03/ 2013 jijini Sheffield, UK.
Mazishi yanategemea kufanyika
siku ya Jumatatu tarehe 11/ 03/ 2013 mara tu baada ya sala ya Adhuhur,
Inshallah.
Msiba huu upo nyumbani kwa
marehemu Address ifuatayo:
3 High Street
Sheffield
Yorkshire
S2 5PZ
SALA YA Maiti itasaliwa msikiti
wa address:
3 Ellesmere Road
Sheffield
Yorkshire
S2 7JA
Kwa maelezo zaid wasiliana :
Habibu Swalehe 07904604128
UK
AU
Mohamed Said Khalfan Shedhan
07961014224 UK
AU
Ahmed Mashaka 07876232851 UK
"KWA HAKIKA SOTE NI WAJA WA
MWENYEZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA "
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...