Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ili kuondoa sintofahamu ktk hili,

    Hakuna sababu ya kupindisha mchakato wa kutambulika ni nani yupo nyuma ya pazia hapa ni vile, nchini Tanzania (Hatupo msituni) Mihimili ipo na inafanya kazi,

    (i)Polisi na Idara ya Usalama,
    (ii)Mahakama,
    (iii)Haki za Kiraia na Kibinaadamu,

    Nadhani Tanzania siyo kule Jamhuri ya Rwanda kipindi cha Mauaji ya Kimbari ama Jamhuri ya Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu 2007/2008 ambapo kila mtu alikuwa anajichukulia Sheria mkononi kimhukumu mwenzake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...