Ndugu Haji Mallesa wa tatu kutoka kulia akitazama kadi yake
mpya aliyokabishiwa kutoka kwa Katibu wa CCM UK ndugu Mariam Mungula. Na wa
kwanza kushoto ni ndugu Simba Fundikira
Mwenyekiti wa muda Shina la Coventry.
Bi Saida Mashaka (Chui) wa pili kutoka kushoto akikabidhiwa
kadi ya uanachama mpya wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM UK ndugu Mariam MUngula
wa pili kutoka kulia.
Ndugu Mariam Mungula Katibu wa CCM UK (wa pili kulia), akimkabidhi mwanachama mpya ndugu Athuman Mchujuko (Achu) Kadi ya CCM katika uzinduzi wa Shina la CCM Coventry UK.
Ndugu Dessa Makoko (katikati) ambaye ni Katibu wa muda wa
Shina la Coventry akipokea baadhi ya vitendea kazi vya chama kutoka kwa Katibu
wa CCM UK ndugu Mariam Mungula wa pili kulia.
baadhi
ya waliokuwepo katika uzinduzi wa shina la CCM katika jiji la Coventry.
Katibu wa CCM UK wa tatu kutoka kushoto ndugu Mariam Mungula
akiwa pamoja na wanachama wa Shina jipya la Coventry. Kutoka kushoto ni ndugu
Saida Mashaka (Chui), Ndg. Amina Suleiman, Katibu Mungula, Arua Yusuph Chunda,
Mrs Simba Fundikira na Bi. Safina Omary Rashid.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...