Home
Unlabelled
Taswirazz za Vikwangua anga vya jijini Dar wakati wa Usiku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mshukuru taa za bandarini port ndizo zinaondoa kiza mjini kati Bandari Salama ama sivyo giza nene lingelikamata jiji lote la Dar-es-Salaam.
ReplyDeleteMdau
Manhattan,
Long Island
New York City
Tanesco walikua hawana habari kama unapiga piga !
ReplyDeleteBongo New York!
ReplyDeleteWewe Mdau wa NY unataka kusema nini hapa,,,Sasa Bandari ya Dar Es Salaam ipo NEW YORK???
Visa ya Marekani yenyewe uliipata kwa bahati tena baada ya kudundishwa mara kibao, lakini wakati ule zamani hakukuwa na FINGER mlikuwa mkidunda Ubalozi mnabadili majina na Pasipoti, ndio ukaingia mara ya 8 ukatusua visa , hadi hukuamini!, na hadi leo hujakanyaga tena Bongo!
Halafu leo hii unaleta dharau zako hapa.
Acha upumbavu wako hapa, ninyi ndio wapinga maendeleo nchini Tanzania na tokea umekwenda huko Marekani huna mchango wowote umetoa kwa Tanzania nchi ya asili yako !
Kama umetoa chochote mimi Mtanzania Daima nitaomba Visa ya Marekani nije kunya mchana kweupeee hapo hapo Manhattan kwako!
Mdau Kwanza hapo juu wa Manhattan, Long Island, New York
ReplyDeleteWewe mwenyewe umezaliwa hapa Gizani Tanzania.
Kwa nini kama Dar in giza nene usilete wewe hizo Taa?
Wanajimu ''Wataalamu wa anga na Unajimu/Astronomers na nyota'' wanasema taa nyingi zinaharibu NIGHT NATURAL SKY TOURISM.
ReplyDeleteUtalii wa usiku wa Nyota na Sayari.
Wacha Dar Es Salaam iwe (night virgin sky)asilia kwa giza lake la kati kwa kati.
Wasiliana na Mtaalamu Mnajimu Dr.N.T.Jiwaji atakueleza vizuri.
E-mail:ntjiwaji@yahoo.com
Madau wa Marekani,
ReplyDeleteTaa za moja moja na wastani ndio raha zaidi.
Hilo giza ndio uhalisia wenyewe wa anga letu zuri na ndio starehe yenyewe ya usiku kuliko mataa pwiiiii!
Kila mtu na staili yake na raha zake!
ReplyDeleteMimi hata nikiwa room usiku napendelea giza!, ingawa wapo wapendao taa!
Je, Mdau wa Marekani New Yoki wewe ukiwa na shemeji yetu unawasha taa?
Samahani jamaa zangu wote wabongo mnaojifananisha na NY. NI USIKU NA MCHANA, Haiwezekani. Nimebhatika kufika NY. Mwenyewe naipenda bongo sana, lakini nadhani kitu cha muhimu ni kukubali kasolo zetu ndiyo tujirekibishe kwa maendeleo.(Kwanza natoa wazo msome habari zilizopita humu March 9 kuhusu vyuo vikuu 10 ulimwenguni.)
ReplyDeleteMie nakaa kijijini kwani Dar majengo yapo lakini hamna miundo mbinu, na kila mtu anaelewa mvua ikinyesha tu, panakuwaje. Uchafu nje' nje'. Vile vile, Tanesco wanaweza kukata umeme wakati wowote ilo alina ubishi. Tutafute mataifa mengine ambayo tunaweza kujifafanisha, (Ndiyo napenda kwamba tunataka kujifafanisha na ulimwengu wa kwanza), ukweli tutajikatisha tamaa buree tukiona jinsi tulivyo nyuma.
JAMANI NAOMBA MSAADA. HILO JENGO KUBWA NYUMA YA "SHERATON YA ZAMANI" KWENYE PICHA YA KWANZA NI JENGO GANI? NAOMBA MSAADA. AU NI PHOTOSHOP WORK?
ReplyDelete