Baadhi ya Vijana mbalimbali waliokuwa wamekusanyika kwenye kiunga cha moja ya ofisi za taasisi hiyo ya THT,Kinondoni Block 41,jijin Dar kwa ajili ya kushiriki mjadala uliohusu changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Kike wakiwa katika picha ya pamoja na mwanamuziki kutoka nchini Marekani aitwaye Maya Azurenca.
Pichani juu ni Mwanamuziki kutoka nchini Marekani aitwaye Maya Azurenca akimba mbele ya vijana mbalimbali (hawapo pichani),wakati wa kushiriki mjadala uliohusu changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Kike , mjadala uliohusisha wasanii wa kike kutoka THT,wasichana kutoka nyumba ya kulelea watoto yatima wa KIWOHEDE  .
Baadhi ya Wasanii wa Kike waliopo kwenye kituo cha THT na waliowahi kupita kituoni hapo,kwa pamoja wakiimba jukwaani kabla ya kuanza mjadala uliohusisha wasanii wa kike kutoka THT,wasichana kutoka nyumba ya kulelea watoto yatima wa KIWOHEDE.Picha zaidi Bofya michuzijr.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...