.
Home
Unlabelled
VIDEO YA TUKUO LA UOKOAJI KATIKA JENGO LILILOPOROMOKA LEO JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Manpower si unayo hapo, watu chungu mbovu anapiga domo tu, watanzania tunatia aibu, nami nilipokuwa bongo juzi siuliamini ghorofa hili, kwani slabs zilikwa zinaangukia magari kama mchezo vile.
ReplyDeleteClient: NHC...Wazembe hao kazi kuvunja majumba na kujenga haraka kwa engineers wa china..
ReplyDeleteKwa nini bado kuna uswahili hata baada ya maafa kama haya? Kwa nini mashabiki (wapiga debe)wengi wasio na kitu chochote muhimu hapo wanaruhusiwa kufika karubu na sehemu ya maafa? Mie nimeona sehemu nyingi duniani Polisi wanafunga kabisa eneo hilo na kuruhusi vyombo vya dola tu pamoja na baadhi ya wenye mali kuingia hapo. Je kukitikea mlipuko? Blackmpingo
ReplyDelete
ReplyDeleteHuyo mtu anaesema engineer wachina ni mjinga wa mwisho hakuna cmhina anaeweza kufanya kitu kama hicho soma vizuri vibao hapo acha ujinga
angalieni watu ambao hawana kazi walivyo jaa kushangaa haya ndo maisha ya Tanzania nchi peke ambayo kibali cha ujenzi kinatolewa lakini hata kama mchoro hauna parking bado wanakubali
Tunaponunua mashangingi ya kifahari tukumbuke pia vitu muhimu kama vifaa vya kisasa vya uokoaji, zimamoto n.k na kuwa na wataalam up-todate. Ukweli tunajisahau sana. Pole kwa wote na hatua zichukuliwe kwa yeyote anayehusika.
ReplyDeletetunahitaji disaster management team na emergency responce team!! tanzania do we have that??
ReplyDeletePoleni sana watu wote mlioguswa na maafa haya. Inasikitisha ya kwamba wakati wowote nchi yangu inapokuwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ni kwa sababu ya majanga. Lazima tufahamu maafa kama haya si mapenzi ya Mungu bali ni uzembe na tamaa za wanadamu. Mola awalaze mahala pema peponi wote waliopoteza maisha yao kwenye maafa haya.
ReplyDeleteYaleyale, bongo hakuwana kuwajibika. Huwezi kuwa na ma-engineer responsible wenzetu wanaita due diligence, kama viongozi wa nchi hawawajibiki. Chama cha ma-engineer na contractors mnaharibiwa jina. Wahusika wanatakiwa wawajibike hata kama ni kwenda jela waende vinginevyo watu hawatabadilika
ReplyDeleteAnon wa kwanza umesoma kabisa mawazo yangu, polisi kitu cha kwanza kufanya hapo ingekuwa kuzuia wasiohusika. Inafanya uokoaji unakuwa rahisi na usalama vile vile. Haya mambo ya watu kuja kushangaa shangaa hayana maana...
ReplyDelete