Licha ya kwamba mji wa Moshi unatajwa kuwepo kwa ujenzi holela katika maeneo mbalimbali,hivi sasa majengo makubwa ya ghorofa yameanza kujengwa katikati ya mji na pembezoni mwa mji hali ambayo itapendezesha zaidi mandhari ya mji huo.Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hili jengo la 'moshi hotel'miaka zaidi ya kumi hakuna kinachoendelea hapo...ujenzi wake wa shida shida sana naona aliyenunua hana uwezo. Hata namna inavyoonekana hapo kwenye picha haionekani kama ni mradi wa ujenzi uliokaa vizuri - ni kama mtu wa kawaida anavyoongezea ukubwa wa nyumba yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...