Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza na
viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi nchini (TUPSE) ofisini kwake
masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama hicho na wizara yake. Kulia ni
Katibu wa Kanda ya Dar es Salaam, Etimas Msamba, Katibu Msaidizi, Oscar Muyeya
na Kaimu Katibu Mkuu, Agustino Rupia.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi nchini (TUPSE)
ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
PICHA
ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA
YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...