Mfanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini Musa Nkuna na Nuru Ntisi wa kituo cha kusaidia wanawake kuachana na matumizi ya dawa za cha Mjini Zanzibar akiwa na mwenzake Amina Salum (wa tatu kushoto) wakifurahia makabidhiano ya vyakula na vitu vingine mbalimbali vilivyotolewa na Vodacom Foundation. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini na wenzao wa Tanzania walipojumuika kwa pamoja kukitembelea kituo hicho kama sehemu ya kuwatia moyo kutimiza azma ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.
Kundli la wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini waliotembelea kituo cha kusaidia wanawake kuachana na amtumizi ya dawa za kulevya wakifuatilia maelezo ya amendeleo na historia ya kituo hicho. Kundi hilo lilijumuika na wenzao wa Vodacom Tanzania kutoa msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kama sehemu ya kutambua juhudi z akituo hicho.
Wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini na wenzao kutoka Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wateja wanaopata tiba katika kituo cha kutibu wanawake lkuachana na matumiiz ya dawa za kuelvya. Wafanyakazi hao wlaikitemebela kituo hicho kama sehemu ya kuthamini juhudi za kituo hicho kusaidia wanawake kuachana na matumizi ya dawa hizo za kulevya.
Mlezi wa Kituo cha Kusaidia wanawake kuchana na Matumizi ya Dawa za Kulevya cha Mjini Zanzibar Mama Fatma Sukwa(katikati), Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon(kulia) na Mteja wa kituo hicho Monica Pardo amabe ni Rais wa Uhispania wakiwa katika picha ya kumbukumbu wakati kundi la wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini walipojumuika na wenzao wa Tanzania kukitembela kituo hicho na kukipatia msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Zanzibar,

    Mjitahidi sana kufuatia uwezesha huio wa Wahisani Vodacom muachane na unga!

    Unga ni kizaa zaa!,
    Unga ni laana!,
    Unga ni mtihani!,
    Unga ni majanga!
    Unga ni msala wa maisha!,
    Unga ni mshike mshike!,
    Unga ni masumbuko ya Dunia!,

    Hebu tizameni Bajeti ya Teja ktk madaraja haya mawili:

    1.TEJA TAJIRI/ MTUMIA WHITE SUGER,
    Bajeti ya Unga Tshs. 50,000/- kwa siku.
    Hesabu kwa mwezi Tshs.50,000/- X 30=Tshs. 1,500,000/-

    2.TEJA MASIKINI/MTUMIA BROWN SUGER,
    Bajeti ya unga Tshs.5,000/- kwa siku.
    Hesabu kwa mwezi Tshs.5,000/- X 30=Tshs. 150,000/-

    Sasa wandugu kwa jinsi maisha yetu haya na Uchumi ulivyo yumba vibaya tu mtu unaunguza Tshs. 1.5 Mil ama Tshs. 150,000/- kwa mwezi ktk matumizi ya unga, hata kama wewe ni Meneja wa Benki kimaisha hutayumba?

    Na bado Kicuhumi ni hapo je, kiafaya na kijamii madhara ya unga hutayumba?

    Je, si hapo unasikia kwa kuamua kutumia unga unajikuta unafanya ONE MISTAKE 10 GOALS?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...