Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza maandamano kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Mama Lilian Mapfa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...