Kiukweli kabisa uendeshaji wa namna hii ukiendelea kufumbiwa macho,basi ajali hazitaisha hapa nchini.maana huyu mwenye gari inayoovertake hapa alikuwa akiiona kabisa gari yetu ikija kutokea mbele yake,lakini kwa dharau na kutojali lolote aliamua kuiovertake gari nyingine tena katika sehemu isiyokuwa salama.hii imetokea hivi karibuni katika eneo la Kongowe,Kibaha mkoani Pwani.
Huyu nae anafanya kosa lilelile katika Mlima kana kwamba anamawasiliano na wanaokuja mbele yake.




HEBU TUANZE DILI NA MKUU WA POLISI KWA WAPIGA PICHA YAANI UKIIPATA YA AINA HII UKAITUMA NA MHALIFU AKIKAMATWA AKAPIGWA FAINI UNAFUNDASHIWA ASILIMIA YAKO ANGALAU 20 HII ITAPUNGUZA SANA AJALI. YAANI POLISI TUISAIDIE IWE NA BLOGU YAO YA KUWEKA PICHA ZA AINA HII NA KILA ANAYEWEKA APEWE IDENTIFICATION NUMBER YAKE NA AACHE SIMU YA KUTUMIWA MPESA. TAJIRIKA NA SAIDI MWEMA KUONDOA UHALIFU - AU MNAONAJE HII WADAU?
ReplyDelete