Waziri Mkuu,Mh. Peter Kayanza Pinda akisalimiana na Mshirika Mtendaji (Managing Partner) wa UhuruOne Tanzania,Mihayo Wilmore wakati wa kilele cha Siku ya Figo Duniani ilioandaliwa na Taasisi ya Figo Tanzania,jijini Arusha.
Mshirika Mtendaji (Managing Partner) wa UhuruOne Tanzania,Mihayo Wilmore akielezea jinsi ya kutumia simu ya kiganjani kupata huduma za kiafya ili kupambana na maradhi ya figo katika kilele cha Siku ya Figo Duniani ilioandaliwa na Taasisi ya Figo Tanzania, kilichofanyika jijini Arusha.
Mshirika Mtendaji (Managing Partner) wa UhuruOne Tanzania,Mihayo Wilmore akimuelezea Mheshimiwa Waziri Mkuu,jinsi ya kujua afya yako kupitia ujumbe mfupi wa simu.
Waziri Mkuu,Mh. Peter Kayanza Pinda akionyesha simu ya kiganjani wakati akielezea namna ya kujua afya yako kupitia ujumbe mfupi wa simu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana mdogo wetu Dr. Linda. Hapo ni mwanzo tu ... We are very proud of you. Keep going girl.


    Mbezi Beach

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...