Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka nchini Norway Mhe. Heikki Holmas wakati alipomtembelea ofisini kwake makao makuu ya Wizara jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Norway. Kulia ni Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Ingunn Klepsivik.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka nchini Norway, Mhe.Heikki Holmas wakati alipomtembelea ofisini kwake makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mmmmh! Tangu lini mtu wa Norway akaitwa Heikki? huyo ni Mfini.

    ReplyDelete
  2. Waziri Prof. Muhongo. Hawa wasikilize kwa makini. Wana Utu. Si kama..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...