Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. How do people pass the driving test? Money Money Money!!!!!

    ReplyDelete
  2. huyu dereva bado ni mwanafunzi hapo penye tobo engepitisha tairi za upande mmoja angelipita bila tabu ,hata hivyo sheria haimruhusu kufanya maajabu hayo!

    ReplyDelete
  3. hizi haraka zingine wajameni?

    sasa wewe vitz angalia sasa unachuna tumbo lako uvunguni mwa vitz kwa ukingo wa barabara.

    ReplyDelete
  4. Pana brother wanug mmoja niliwahi kumsikia akisema ya kuwa watu wafupi ama vibushuti mara zote huwa ni wakorofi saaana, akikaa sehemu hufanya vituko ili mradi watu watambue kama yupo.

    Vivyo hivyo hata wamiliki wa vigari vibushuti wengi wanavimiliki kwa mikopo, ni wakorofi hakuna mfano!

    Unaweza kukuta anaendesha ovyo, ukimshukia anakwambia sasa unataka nini kwangu?

    Ebooo, wewe imenikosea mimi kukukshukia kwenye gari nije nikueleze pia hutaki?

    Angalia sasa hapo anapanda ukuta wa barabara huku gri yenyewe ikiwa inagusa ukingo !

    ReplyDelete
  5. wewe ka vitz kenyewe ka mkopo kupitia dhamana ya kazini kwako, halafu tena hata marejesho ya mkupuo wa kwanza bado tayari umekaingiza kwenye msingi kulikwangua bampa!

    Sasa Wakopeshaji wakighairi wakachukua gari lao huo uharibifu utalipa vipi, wakati bado umekopa?

    ReplyDelete
  6. AKILI YA KUAMBIWA HIYO!

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa gari itakuwa sio yake, yeye anafanya bora liende hata ikiharibika inamhusu nini. Wetu wengine bwana utadhani wana akili za kuazima.

    ReplyDelete
  8. Anonymous said.....
    Hapa nahisi serikali iweke faini kubwa zaidi na adhabu kali zaidi kwa watu kama hawa. Watu kama hawa ndio wakwanza kulalamika kuwa serikali haijengi barabara alafu zikijengwa wanaziharibu kama hivi. Hapa inatakiwa faini iwe kama milioni kumi then ukishindwa kulipa jela miaka 30 na adhabu ya kwenda kulima katika mashamba makubwa ili kuzalisha chakula cha taifa. Inakera sana kuona watu kama hawa wanaharibu miundombinu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...