Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei (katikati) akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha matokeo ya utendaji wa Benki ya CRDB kwa mwaka 2012.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB Bi.Tully Mwambapa aliwakaribisha wageni waalikwa katika hafla ya kutangaza matokeo ya kifedha ya mwaka 2012 ya Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari kwa kufurahi na wajumbe wa Bodi ya Benki hiyo Bi.Joyce Nyanza(Kushoto) na Bwana Ally Laay(Kulia).Wengine ni mchambuzi wa masuala ya Fedha Dkt.Mohamed Warsame (Kulia) na Mkurugenzi wa Ujasiriamali watu Bi.Dorah Ngaliga(Kushoto).
Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakifuatilia jambo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongereni sana ila ongezeni matawi Wilayani/vijijini(Upcountry)acheni woga

    David V

    ReplyDelete
  2. Naomba aliye na contacts za Gaspar Matovu na tawi analofanyanyia kazi ktk benki hii anipatie.
    Mdau.

    ReplyDelete
  3. Tunataka Kiswahili tusioelewa Kiingereza!

    ReplyDelete
  4. Mbona koment zangu sizioni ankali? CRDB waache kuwa benki inayomsikiliza tu mteja, watujibu pia sio kutusikiliza tu...!
    Hicho kitengo chenu cha internet banking hebu kitizameni kwa jicho la pili. Inachukua muda gani mtu kuomba mpaka kupata internet banking?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...